Sifa Za Bwana
1Msifuni Bwana, enyi mataifa yote;mtukuzeni yeye, enyi watu wote.
2Kwa kuwa upendo wake kwetu ni mkuu,uaminifu wa Bwana unadumu milele.
Msifuni Bwana.
Zaburi • Sura 117 / 150